Happy Valley Day Care Center - Kids Race for Excellence in Good Hands

Thursday, 26 December 2019

2020 is finally around the corner! Please consider to update yourself on what we offer at Happy Valley Day Care Center


Happy Valley Day Care Center Brochure (2020) Please Click Here to Read
Posted by Happy Valley Foundation at 23:19 1 comment:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Posts Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)

WASILIANA NASI

Tupo karibu na Ofisi ya
Mkuu wa Mkoa

Plot No. 214, Boma Road
P.o. Box 6426 Morogoro

Simu: 0783400701 ama
0714022038

Email: Happyvalleyschools@gmail.com

Kuhusu sisi

My photo
Happy Valley Foundation
Morogoro, Tanzania
Happy Valley Foundation ni asasi binafsi iliyojikita kwenye, pamoja na mambo mengine, kuleta ufanisi wa hali ya juu katika sekta ya elimu nchini Tanzania. Happy Valley Day Care Center iliyopo Morogoro mjini inamilikiwa na kuendeshwa na Happy Valley Foundation na vipaumbele vyake ni pamoja na: Ubora wa elimu ya darasani, maadili na stadi za kujiamini na kujitegemea katika maisha binafsi ya kila siku kwa wanafunzi. Pia shule yetu imejikita kuwajengea uwezo wanafunzi katika ubunifu, upendo, ushirikiano na uhodari katika michezo. Lengo ni kuifanya shule hii mahali salama na panapoaminika na kila mzazi, mlezi ama mtaalamu yeyote yule wa elimu ya awali. Mzazi na mwanafunzi wote ni wateja wetu wakuu, tumejikita kumfundisha na kumpa uangalizi wa hali ya juu mtoto ili mzazi afanye shughuli nyingine za maendeleo bila wasiwasi wowote. Tunawaalimu na wafanyakazi wa kutosha hivyo mwanao atakuwa katika mikono salama. Aidha shule inawataalamu waliobebea katika saikolojia ya watoto na maendeleo ya mtoto ambao wataweza kumjenga mtoto na kumsaidia kujua na kutatua matatizo yaliyo katika mfumo wa maendeleo ya watoto.
View my complete profile

Soma makala zilizopita

  • ▼  2019 (1)
    • ▼  December (1)
      • 2020 is finally around the corner! Please consider...
  • ►  2015 (5)
    • ►  December (2)
    • ►  November (1)
    • ►  September (2)
Watermark theme. Powered by Blogger.