Je unatafuta shule kwa ajili ya
mwanao wa miaka 2-5?
Je unahitaji kufanya shughuli
zako za uzalishaji mali huku mwanao akiwa katika mikono salama ya walimu wazoefu kuanzia saa mbili asubuhi
hadi saa nane ama saa kumi jioni?
Je unahitaji mwanao ajifunze
maadili mema na nidhamu?
Je unatafuta shule yenye ada
nafuu huku mwanao akipata huduma zote muhimu? Kama chakula, maji safi na
salama, na kupumzika (kulala) baada chakula cha mchana?
Je unahitaji mwanao ajifunze,
kuongea,kusoma, kuandika na kuhesabu kwa ufasaha katika lugha lugha zote mbili
kingereza na Kiswahili?
Je unahitahi mwanao apate
huduma za kiasikolojia kutoka kwa mtaalamu
mwenye uzoefu wa saikolojia mwenye shahada ya uzamili ya chuo kikuu cha
Dar es salaam?
Happy valley day care
center ndiyo jibu lako. Tunapatikana boma
road karibu na ofisi ya mkuu wa mkoa wa Morogoro
Wahi sasa
nafasi ni chache fomu bado zinapatikana, shule itafunguliwa 18/1/2016.
Kwa maelezo zaidi wapigie simu namba 0714 022 038 au 0783 400 701