| Happy Valley Day Center ipo eneo lenye utulivu sana linalofaa kwa malezi ya watoto |
| Mandhari tulivu kabisa inayofaa kwa michezo ya watoto |
| Kuta za bustani zinapendeza na zinamaandishi kwa ajili ya watoto kujifunza wakiwa nje ya darasa |
| Sehemu ya jengo la Happy Valley Day Care Center |
| Lango kuu la kuingilia Happy Valley Day Care Center |
No comments:
Post a Comment